LEO NITAZUNGUMZIA KOSA KUBWA WANALOLIFANYA WANAUME WENGI SANA PALE MWANAMKE ANAPOCHELEWA KUPATA UJAUZITO
Huenda na wewe ni miongoni mwa Wanandoa wanaopitia misukosuko ya kukosa mtoto katika ndoa yako. Ninafahamu ni kwa jinsi gani tatizo hili linavyosumbua kwenye nyumba nyingi hasa kwa Karne hii.
Najua kama ingetokea nikatangaza kwamba kesho natoa bure dawa kwa ajili ya watu kupata ujauzito basi ningekuwa na foleni kubwa isiyoisha kila siku hapa kituoni kwangu. Wapo wanawake wengi wanao hangaika kutafuta mtoto mpaka wamekata tamaa wamezunguka wanaona hawafanikiwi.
Wameshatumia pesa nyingi, wameshatumia madawa na madawa lakini bado hitaji lao la kupata mtoto hawajafanikiwa.
Wengine wamekuwa ni watu wa mawazo tu muda mwingi na hawana amani kabisa katika ndoa zao. Hakuna furaha kwa mtu yoyote hata kama ni tajiri kama hana mtoto furaha ya baba au mama ni kuona watoto wanacheza nyumbani hayo ndiyo matunda ya ndoa. Kila mtu yupo bize anahangaika na maisha kwa ajili ya mambo mengi lakini jambo la kwanza na la msingi huwa ni watoto .
Kuna waliohangaika sana kutafuta mtoto kwa miaka kadhaa mpaka wanaamua kutumia huduma ya kupandikiza mtoto na wanatumia mamilioni ya fedha kwa wanaopandikiza ujauzito ili kupata mtoto wakati huo huo wengine wanashindwa gharama hizo na kubaki wakiwa.
Kwahiyo nafahamu ni madhara gani wanayopitia wanandoa ambao hawajabahatika kupata mtoto. Wengine wanaishi na msongo wa mawazo katika ndoa zao, huku wengine wakitishiana kuachana, wengine wameishiwa hadi hamu ya kushiriki tendo la ndoa na wanaweza kukaa hata wiki 3 bila kugusana.
Hali huwa mbaya zaidi mwanamke anapofikisha miaka 35 au 40 na bado hajabahatika kupata mtoto maana KATIKA umri huu Huwa mimba zinamsumbua sana.
Kwa kifupi tu niseme siyo jambo rahisi kuishi na tatizo hili hasa ukizingatia maneno maneno ya ndugu, jamaa, marafiki na majirani juu ya jambo hili na mbaya zaidi hata mdogo wako wa juzi unakuta anazaa kabala Yako.
SASA KOSA KUBWA AMBALO WANAUME WENGI HUFANYA PALE TU MWANAMKE ANAPOSHINDWA KUPATA UJAUZITO MAPEMA ni kuweka lawama na majukumu yote kuhusu tatizo hilo kwa mwanamke peke yake bila kujua kuwa matatizo ya uzazi yapo kwa jinsia zote. Yaani mwanaume hufikiria kuwa sababu kubwa ya wao kutopata mtoto ni mwanamke na wala siyo mwanaume.
Lawama zote hupewa mke! Ni mke ndiye atapelekwa kufanya vipimo kisha majibu yanasema ni uvimbe kwenye kizazi au homoni zimevurugika au mayai hayapevuki, au ana chango la uzazi na kadharika.
Atapatiwa dawa moja baada ya nyingine na hapo mwaka unaweza kupita, miaka miwili hata mitatu hata miaka mitano inaweza kupita bado mtoto hajapatikana na hapo ndipo ubize huanza tena kuhangaika na matatizo ya uzazi kwa mwanamke kwa mara nyingine tena!
Lakini mpaka Hapo mwanaume bado hana hata wazo la kusema na yeye afanye check up kujua kama na yeye huenda ni sehemu ya tatizo hilo. Na wapo wanaume ambao hukataa wazi wazi kufanya vipimo hata baada ya daktari kushauri wafanye hivyo. Wanakataa kupima hata baada ya wake zao kuwaomba na wao wakapime na kuamini kuwa wao wako vizuri katika mifumo yao ya uzazi. Na baadhi ya wanaume wengi wanaofika kituoni kwangu huwa na kisingizio cha kwamba wana watoto wa miaka miwili au mitatu au miaka kumi kabla ya kuoana na mke wa sasa hivyo hawaamini kama wana tatizo lolote kwenye uzazi na hawaoni kama kuna ulazima wa wao kufanya check up.
Mwanaume kama alipata mtoto sehemu nyingine miaka miwili nyuma moja kwa moja anajiona ni mzima na hana tatizo la uzazi. Hivyo mwenye tatizo ataonekana ni mke wake . Hapo ndipo makosa yanapoanzia kwa kiasi kikubwa katika ndoa nyingi.
Kumbe hawajui kuwa hata Kama ulipata mtoto miaka miwili nyuma au hata miezi 6 nyuma, haina maana kuwa huwezi kupata tatizo fulani kwenye mfumo wako wa uzazi linaloweza kuwa chanzo cha mkeo wa sasa kutopata ujauzito. Narudia tena : Kama wewe mwanaume una mtoto kabla ya kuoana na huyu mke wa sasa ambaye hapati ujauzito haina maana tatizo lote lipo kwa mwanamke tu linaweza kuwa kwenu nyote. Kwa maana hiyo Unaweza kutungisha ujauzito mwezi huu na mwezi ujao ukapata tatizo kwenye mfumo wako wa uzazi kama kuwa na mbegu chache, mbegu zisizokomaa vizuri, wingi wake unaweza kupungua uvimbe kwenye kizazi mirija kuziba magonjwa ya uzazi na kadharika. Wakati wowote wana ndoa wanaweza kupata tatizo lolote la kushindwa kutungisha ujauzito inapotokea hitilafu hata kama ni ndogo katika mifumo yao uzazi.
Vile vile Hata kwa upande wa mwanamke ipo hivyo kwamba unaweza kupata mtoto wa kwanza, mtoto wa pili na wa tatu vizuri tu lakini baadaye ikawa shida kupata ujauzito mwinine mpaka upate dawa ndipo unaweza kupata ujauzito tena.
Huenda jambo Hili unalifahamu vizuri lakini unashindwa wapi ukalipatie ufumbuzi kwa kuwa umekata tamaa.
Kumbuka Wanawake wengi wanashikwa na mawazo hasa pale wanapoona mwanaume hana habari ya kusema aambatane na mke wake kwenda kupima na badala yake jukumu lote wanapewa wanawake. Nimesha wahudumia wanawake wengi wenye uvimbe kwenye kizazi au tumboni na bado kwa neema ya Mungu wanapata ujauzito na tunawatibu wanapona vizuri na maisha yanaendelea. Kumbe kwenye familia nyingine ikitokea mama amepima na amekutwa na uvimbe basi jukumu lote anaachiwa yeye kama vile yeye ndo kapenda iwe hivyo. Na baadhi ya watu katika jamii zetu huamini kwamba mwanamke mwenye uvimbe kwenye kizazi hawezi kupata ujauzito mpaka apone nikutokujua tu kuna mwingine uvimbe huo ulipona lakini bado hapati ujauzito. Daktari akimpima anarudisha majibu kuwa hana uvimbe na hana tatizo lolote linalozuia asipate ujauzito.
Lakini bado mpaka hapo mme hana habari ya kupima na pengine anahamishia mawazo kwamba huenda kuna ndugu yao fulani anawaloga, kuna mtu anawachezea na mambo mengine mengi kama hayo kumbe hakuna uchawi wowote zaidi ya uvivu au woga wake wa kuchukua vipimo kujua nani mwenye tatizo ili litibiwe na hatimaye muanze maisha upya.
Ninaweza kuendelea kueleza mengi sana kuhusu jambo hili lakini hoja yangu kuu ni kuwa inapotokea ndani ya nyumba yenu mnashindwa kupata mtoto, mwanaume usiache jukumu lote liwe kwa mwanamke wako kuwa yeye ndiye mwenye tatizo Na wewe shiriki vipimo na uwe sehemu ya suluhisho. Tena uzuri ni kuwa vipimo kwa wanaume huwa ni bei ndogo sana ukinilinganisha na gharama za vipimo hivyo hivyo kwa mwanamke na hata tiba yake ni rahisi pia.
Hivyo basi ikiwa una tatizo lolote la uzazi linaloleta shida katika ndoa yako au limekuwa likikusumbua kwa kipindi kirefu sana na hujalipatia ufumbuzi au huenda umekata tama ya kupona ondoa shaka matatizo kama kutotungisha ujauzito mimba kuharibika mara kwa mara hedhi kuvurugika maumivu makali wakati wa hedhi uvimbe kwenye kizazi ugonjwa wa P.I.D , U.T.I SUGU mirija ya uzazi kuziba chango la uzazi au umezaa lakini kwa sasa mimba zimeshindikana au hupati mimba kabsa au kwa wewe mwanaume ambaye huna nguvu za kiume au maumbile yako ya kiume ni madogo sana na ungetamani kupata dawa ya kuyakuza tafadhari wasiliana na mimi kwa 0676718040 Ili niweze kukusaidia
KUMBUKA
MATIBABU YOTE WIKI HII NITAYATOA KWA PUNGUZO LA BEI
BONYEZA HAPA KUWASILIANA NA DR WHATSAPP


0 Comments